STEND YA MABASI MAKUBWA YAENDAYO MIKOANI ILE YA MUDA YAFUNGWA MJINI DODOMA

 Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma Jumanne Ngede akitoa ufafanuzi kwa aina yake mbele ya Maajenti wa Mabasi yaendayo mikoani na wafanyabiashara wenye vibanda na mama lishe wakati alipokuwa akitangaza kufungwa kwa stendi hiyo ya muda iliyodumu kwa miezi mitatu kinyume na ilivyokuwa imepagwa kutumika kwa miezi 10. 

PICHA KWA HISANI YA BANDA INT. PHOTOGRAPHER.

No comments

Powered by Blogger.